![]() |
Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Monday, 21 October 2013
WENGER ATANIA JINSI KITABU CHA FERGUSON KITAKAVYOKUWA
RATIBA YA USIKU WA UEFA;BARCA NA MILAN,ARSENAL NA DORTMUND
![]() |
WENGER;BADO MANCHESTER IPO KWENYE MBIO ZA UBINGWA
![]() |
Kocha a Arsenal,Asene wenger |
Kocha wa Arsenal,Arsenal Wenger amesema hawezi kuitoa Manchester United katika mbio za kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Engand msimu huu.
FAHAMU TOP 10 YA MSHAHARA KWA WACHEZAJI WA LIVERPOOL
Nahodha wa Liverpoool,Steven Gerald |
Klabu ya soka ya Liverpool ni moja ya klabu yeynye historia kubwa ya soka katika soka la Uingereza,barani ulaya na hata dunuani kote,wapo watuwanaosababisha historia ya klabu hii izidi kukuwa siku hadi siku,kuna jopo zima la klabu hiyo lakini kazi yao inakamilishwa uwanjani na wachezaji wa timu hiyo ndo wanaowakilisha.
MASHABIKI 20 WAZIMIA KATIKA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA
![]() |
Mmoja ya mshabiki akiwa amebebwa kwenye machela baada ya kuzimia |
MECHI ya Simba na Yanga ilikuwa presha tupu kwani zaidi ya mashabiki 20 wa timu hizo mbili wengi wao wakiwa wanawake, walizimia kwenye mchezo huo uliochezwa jana Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na matokeo kuwa sare ya 3-3.
MBWEMBWE ZA MRISHO NA ADABU YA MPIRA
![]() |
UNATAKA kujua kwa nini Afrika haijachukua Kombe la Dunia mpaka sasa? Basi dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza jana Jumapili ingekudhihirishia.
KUELEKEA KOMBE LA DUNIA DRAW YATOLEA BARANI ULAYA,URENO USO KWA USO NA SWEDEN
![]() |
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo |
Draw ya timu mblimbali za taifa barani ulaya kwa ajili ya kucheza kombe la dunia mwakani 2014 inchini Brazil imefanyika mchana wa leo na kuishuhudia timu ya soka ya Ureno inayoongozwa na nyota Cristiano Ronaldo ikipangiwa kucheza na timu ya taifa ya Sweden inayoongozwa na Ibrahimovich maarufu kama Ibrakadabra.
Sunday, 20 October 2013
KASEJA AWEKA REKODI NYINGINE,AANGALIA MECHI YA WATANI WA JADI JUKWAA KWA MARA YA KWANZA
Alikuwa kipa wa Simba Juma Kaseja |
KWA mara ya kwanza baada ya miaka kumi kipa namba moja wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Juma Kaseja, anakosa hata kuwapo kwenye benchi la akiba pale watani hao watakapovaana Jumapili.
KADI YA ATM YA FERGUSON INAVYOTABASAMU
![]() |
Alikuwa kocha wa Man U,Sir Alex Ferguson |
KABLA haujakata roho, kuna vitu 50 vya michezo ambavyo unapaswa kuvifanya. Aprili 2004, Gazeti la Observer la Uingereza liliandika kuwa tukio la kwanza kati ya matukio hayo ni kutazama pambano la SuperClasico. Unalifahamu pambano hili?
LUKAKU;CHELSEA IMETOA MKOPO GARI LA MAGOLI
![]() |
Mshambuliaji wa Eveton,Romeo Lukaku |
WAKATI washambuliaji wa kocha, Jose Mourinho, katika klabu ya Chelsea wakiwa wamekaukiwa mabao, inashangaza kuona kocha huyo amemtoa kwa mkopo staa wake wa Ubelgiji, Romelu Lukaku, ambaye anafunga kadri anavyojisikia katika klabu ya Everton.
Friday, 18 October 2013
SOMA MAKALA YA KUSISIMUA INAYOSEMA; SOKA LA TANZANIA NA HOTUBA YA MARTN LUTHER KING JR
.
![]() |
Agust 28
-2013 mwanaharakati wa haki za kibinadamu Matin Luther King Jr,alikamilisha
miakahamsini tangu atoe hotuba yake ya ‘I have a Dream’
Kwa wakati
huo Martin Luther akitoa hotuba hio mbele ya umati wa wamarekani,watu wengi
waliona kama ni ndoto tena isiokuwa ya kwel,katika hotuba yake alieleza ni kwa
jinsi gani ana ndoto siku moja mtu mweupe na mtu mweusi watakuwa na haki sawa
duniani kila mmoja atamwona mwingine ana dhamani.
AL AHLY KUINGIA IWANJANI NA MATATIZO
![]() |
Al Ahly inaingia katika mechi ya mkondo wa pili wa michuano Klabu Bingwa barani Afrika dhidi Coton Sport mwishoni mwa wiki huku ikikabiliwa na matatizo lukuki. |
Tuesday, 15 October 2013
DAKTARI ANAPOSEMA MADRID IMELIWA KWA BALE
![]() |
Gareth Bale mshambuliaji wa Real Madrid |
MREMBO, Daniela Saurwald, ambaye ni mchumba wake hakuwapo hospitali sawa, lakini mama mzazi, Nancy, hakutaka kabisa kusubiri nyumbani.
HASLEY AWACHANA WAAMUZI EPL
![]() |
Mark Hasley |
Kocha mstaafu, Mark Halsey amewachana baadhi ya waamuzi wa Ligi Kuu ya England (EPL), akisema wanaiharibu ligi na baadhi wanahitaji msaada.
BUNDI KUKWAMISHA UJENZI WA UWANJA WA LIVERPOOL
![]() |
Muonekano wa uwanja wa Aflied wa Liverpool. |
Bundi wanaelekea kukwamisha mipango ya kuendeleza uwanja wa Anfield unaomilikiwa na Liverpool.
GERALD;TUNATAKIWA KUWA KAMA MIZIMU ILIYOHAI USIKU W LEO
![]() |
Nahodha wa timu ya taifa ya England Steven Gerald |
Kiungo na nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza Steven Gerald amewaambi wachezaji wa timu ya taifa wenye umri mkubwa na wenye umri mdogo kusahau yaliyopita na kupambana usiku wa leo na kuhakikisha wanapata ushindi katika mchezo wa leo dhidi ya Polland ili kufuzu kwenda kushiriki kombe la dunia mwakani inchini Brazil.
FERGUSON;MAN U WANAPASWA WASHIKAME HATA KATIKA KIPINDI KIGUMU
![]() |
Kocha wa zamani wa man U,Sir Alex Ferguson kulia na kushoto ni kocha wa sasa David Moyes. |
Kocha wa kihistiria wa Manchesster United Sir Alix Feguson amesisitiza klabu hiyo haina budi kukubaliana na kila hali itakayotokea kutoka kwa kocha wa sasa wa timu hiyo David Moyes.Akiongea na waandishi wa habari Ferguson alisema,,,
WACHEZAJI NIGERIA WAJERULIWA ETHIOPIA
![]() |
Nosa Igiebor alijeruhiwa na jiwe mkononi |
Mchezaji soka wa Nigeria, Nosa Igiebor alijeruhiwa vibaya wakati timu yao iliposhambuliwa mjini Addis Ababa baada ya mchuano wao wa mchujo dhidi ya Ethiopia katika kutafuta nafasi ya kushirki kombe la dunia mwaka ujao nchini Brazil.
TIMU YA VIJANA UFARANSA KUTAFUTA NAFASI YA EURO 2015
![]() |
Geoffrey Kondogbia |
Timu ya taifa ya Ufransa ya vijana inashuka dimbani leo Jumatatu Octoba 14 kumenyana na Irland ambayo inakuja juu ya Ufaransa kwa pointi katika kuwania kufuzu kombe la Ulaya mwaka 2015. Iwapo Ufaransa itashinda mechi hiyo itachukuwa nafasi ya kwanza katika kundi hilo.
Saturday, 12 October 2013
ZIFAHAMU NCHI ZILIZOKIKATIA TIKETI YA KWENDA BRAZIL
![]() |
Baada ya michezo mbalimbali kuchezwa katika timu zinazogombania kucheza kombe la dunia inchini Brazil,zipo inchi mbazo tayari bado hazijafuzu kwa sababu ya kigezo cha pointi na wapo wengine wameshafuzu kwa sababu ya wingi wa pointi katika makundi yao na hata katika mabara wanaotoka
Subscribe to:
Posts (Atom)