Friday 4 October 2013

HUU NDIO UTABIRI WA MECHI ZA LEO NA KESHO EPL;MAN U WATAIBUKA WABABE KWA SUNDERLAND


Ligi kuu ya England inatarajiwa kuengelea tena siku ya leo na kesho kwa timu mbalimbali kushuka uwanjani ili kufanya mchezo huu wa soka uzidi kuwa na mvuto zaidi duniani hasa kwa ligi hii inayopenda zaidi na mashabiki  wa soka hapa kwetu na hata duniani kote.Tumejeribu kutabiri matokeo yahakavyouwa katika michezo itakayochezwa wiki hii.Pamoja na klabu ya soka ya Man u kuwa kwenye kipindi kigumu lakini kuna uwezekano mkubwa wakaibuka washindi katika mchezo wao dhidi ya Sunderland.


YAFUATAYO NI MATOKEO YA UTABIRI KWA TIMU ZOTE ZA LIGI YA ENGLAND

Add caption

No comments:

Post a Comment