Friday 1 November 2013

ANGALIA TOP TEN YA WACHEZAJI TAJIRI DUNIANI

David Beckham

Mishahara  wachezaji  wanaolipwa inawawezesha kuboresha maisha yao na kufanya mambo mengine ya maendeleo katika hii dunia,kuna wanaolipwa mishahara mikubwa na kufanya mambo makubwa na kuna wanaolipwa mishahara ya wastani na kufanya mambo ya kiasi  ila wote  wanaonekana  katika hali ya utofauti wa mambo makubwa walioyafanya katika jamii na maisha yao binafsi,,Katika maswala ya kujiendeleza binafsi hapa ndo tunatambua mchezaji mwenye utajiri kuliko wote.Leo tunakuletea list ya wachezaji kumi wenye utajiri kuliko wote katika wachezaji wa mpira wa miguu.



Top 10 Richest Football Players !
10. Fernando Torres – £42m

9. Frank Lampard – £45.5m

8. Zlatan Ibrahimovic – £47m

7. Wayne Rooney – £50m

6. Samuel Eto’o – £52m

5. Ronaldinho – £63m

4. Kaka – £66.5m

3. Cristiano Ronaldo – £112m

2. Lionel Messi – £115.5m

1. David Beckham – £175m

No comments:

Post a Comment