Thursday 19 September 2013

FAHAMU TOP 10 YA WACHEZAJI WANAOMILIKI MAGARI YA KIFAHARI

Bugatti Veyron super sport
Katika maisha yakawaida mtu hufanya mambo ya kawaida,kama anahitaji jambo la kifahari basi
itabidi libaki katika akili na mawazo yake au ndoto ambazo haziwezi kutokea,,
,lakini mambo yanapobadilika na kuwa na maisha mazuri basi mtu huifanya hii dunia kama mbingu ndogo,kufanya kila jambo ili aipe furaha nafsi yake na hata kuafanya kila jambo kwa kutumia pesa.Kwa upande wa wachezaji matajiri hayo yamefanikiwa na moja ya ishara kuwa wanaishi aina ya maisha wanayotaka ni kuendesha magari ya kifarari.

IFUATAYO NI ORODHA YA WACHEZAJI WATANO WANAOMILIKI MAGARI YA KIFAHARI
1.Andres Iniesta anamiliki gari aina ya Bugatti Veyron super sport lenye dhamani ya euro milion 2(sh4.18bln)

Bugatti Veyron super sport


2.Zlatan Ibrahimovich,
anamiliki gari aina ya  Enzo Ferrari lenye dhamani ya euro milion 1(sh2.45bln)




3.Mario Baloteli anamiliki gari aina ya Ferrari F12berlinetta gari hili lina injini ya 6.31v12lenye uwezo wa kuzalisha Horsepower 730.


4.Cristiano Ronaldo anamiliki gari aina ya Lamborghini Aventador LP700-4 lenye dhamani ya dola 441,000(sh milion 697.397)


5.Samwel Eto'o anamiliki gari aina ya Aston Martin one-77 likiwa ni toleo la 77 na lina dhamani ya pauni milion 1(sh bilion 2.45)

                   FUATILIA ORODHA YA WACHEZAJI WENGINE TANO SIKU INAYOFUATA

No comments:

Post a Comment