Thursday, 19 September 2013

ANGALIA PICHA 12 ZINAZOTHIHIRISHA UFAHARI WA UWANJA WA ALLIANZ ARENA

Uwanja wa Allianz arena

Uwanja wa Allianz arena unaotumiwa na klabu ya Bayern munich ya ujerumani inayoshirikki ligi kuu inchini ujerumani na ni bingwa mtetezi wa kombe la Uefa champions league,uwanja huu unakumbukwa sana na mashabiki wa klabu ya,,, Chelsea kwa kuishuhudia timu yao ikitwaa ubingwa wa Uefa mbele ya Bayern msimu wa 2011-2012.Uwanja huu ni moja ya viwanja vya kifahari katika bara la ulaya,Mwandishi wa blog hii ameamua kukuletea picha 10 za uwanja huo zinavyoonekana katika muonekano tofauti.

Allianz Arena unavyoonekana katika ufunguzi wa mashindano mbalimbali
yanayofanyika katka uwanja huo.


Barabara zinazoelekea uwanja wa Allianz Arena
Allianz Arena ukionekana katika rangi tatu tofauti.


                                                            Allianz unavyoonekana bila mashabiki


Allianz unavyoonekana kutoka juu
Picha inayopatika ndani ya uwanja wa Alianz,ukionesha jinsi uwanja huo ulivyo
kwe dhumuni la kuvutia watalii. 
Alliaz unavyoonekana kwa kwani wakati mashabiki wakiaangalia mpira.
Alliaz unavyoonekana wakati wa usiku.
Sehemu ya mji wa Munich unapopatikana uwanja wa Aliaz Arena
Lifti inayotumiwa na mashabiki katika uwanja wa Alliaz Arena
Hii ni bar iliyopo ndani ya uwanja huo,ikiwa imepambwa kwa rangi ya dhahabu.

Allianz Arena kwa muonekano wa nje


No comments:

Post a Comment