![]() |
| Mesut Ozil |
Showing posts with label FAHAMU ZAIDI. Show all posts
Showing posts with label FAHAMU ZAIDI. Show all posts
Thursday, 3 October 2013
KATIKA FAHAMU ZAIDI;OZIL ATISHA KWA PASI ZA MWISHO
Wednesday, 2 October 2013
HUU NDIO WIMBO ANAOIMBIWA FLAMINI NDANI YA EMIRAMITES
![]() |
| Flamini |
Ubora aliounesha kiungo Mathe Flamin umepelekea imani kubwa kwa mashabiki a Arenal hivyo kuiwimbia mashairi ya wimbo kila anapocheza mpira katika uwanja wa Emirates..
WENGER AZIDI KUWEKA REKODI NDANI YA ARSENAL
![]() |
| Arsene Wenger |
Kama Arsene Wenger atapoteza michezo 130 ijayo(asishinde mchezo hata mmoja)bado atakuwa
Saturday, 28 September 2013
OZIL ATISHA KWA KUTENGENEZA NAFASI EPL
![]() |
| Mesut Ozil |
kiungo Mesut Ozil ametengeneza wastani wa..
Thursday, 19 September 2013
FAHAMU ZAIDI;YAYA TOURE NI ZADI YA WACHEZAJI MAN U KWA PASI
![]() |
| Kiungo wa Man City,Yaya Toure |
ANGALIA PICHA 12 ZINAZOTHIHIRISHA UFAHARI WA UWANJA WA ALLIANZ ARENA
![]() |
| Uwanja wa Allianz arena |
FAHAMU TOP 10 YA WACHEZAJI WANAOMILIKI MAGARI YA KIFAHARI
![]() |
| Bugatti Veyron super sport |
itabidi libaki katika akili na mawazo yake au ndoto ambazo haziwezi kutokea,,
Monday, 16 September 2013
IFAHAMU TOP 10 YA WACHEZAJI WA GOFU DUNIANI.
Mchezo wa gofu umekuwa ni mchezo uliojizolea umaarufu kadri siku zinavyozidi kwenda hasa kwa inchi za mataifa yenye majina makubwa na uwezo mkubwa kiuchumi kama,,
Saturday, 7 September 2013
DAKTARI FEKI ALIYENASWA KCMC KILIMANJARO
Daktari feki aliyenaswa katika hosptali ya KCMC aliyetambulika kwa
jina la Alex Massawe akiwa amefungwa pingu mikononi mwake katika eneo la
hosptali hiyo.
Daktari Feki akisindikizwa na baadhi ya wafanyakazi wa hosptali ya KCMC
kutoka katika moja ya wodi ambayo alikuwa 'akihudumia'.…
Daktari feki aliyenaswa katika hosptali ya KCMC aliyetambulika kwa jina
la Alex Massawe akiwa amefungwa pingu mikononi mwake katika eneo la
hosptali hiyo.
Daktari Feki akisindikizwa na baadhi ya wafanyakazi wa hosptali ya KCMC kutoka katika moja ya wodi ambayo alikuwa 'akihudumia'.
Ofisa Uhusiano wa KCMC, Gabriel Chisseo (kushoto) akimwonesha Daktari Feki, Alex Massawe.
Daktari Feki akiwa katika gari la polisi tayari kupelekwa kituoni.
Daktari Feki akiwa katika gari la polisi tayari kupelekwa kituoni.
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC ya mjini Moshi, jana ulimnasa 'Daktari Feki' aitwaye Alex Sumni Massawe (33).
Massawe alikamatwa saa 5:00 asubuhi ndani
ya hospitali hiyo na kuwekwa chini ya ulinzi mkali wa makachero wa Jeshi
la Polisi waliokuwa wamevalia nguo za kiraia.
Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa
amepanga kumfanyia upasuaji wa ngozi, Makasi Tipesa ambaye anasumbuliwa
na ugonjwa huo baada ya kukutana na mama yake na kumuahidi kumpatia
huduma kwa malipo ya Sh. 200,000.
Thursday, 5 September 2013
EXCLUSIVE NDANI YA MIELEKA;MFAHAMU MTU WA KWANZA KUANZISHA MCHEZO HUO
![]() |
| Mr. McMahon |
Mr. McMahon Buys Capitol Wrestling
Mheshimiwa McMahon alikuwa kuchukuliwa kuwa ni mtu wa juu katika..
Tuesday, 3 September 2013
EXCLUSIVE KATIKA FAHAMU ZAIDI SOMA HAPAA

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Luis Suarez alianza kucheza mpira kwenye mtaa....
Subscribe to:
Posts (Atom)







