Kocha wa zamani wa man U,Sir Alex Ferguson kulia na kushoto ni kocha wa sasa David Moyes. |
Kocha wa kihistiria wa Manchesster United Sir Alix Feguson amesisitiza klabu hiyo haina budi kukubaliana na kila hali itakayotokea kutoka kwa kocha wa sasa wa timu hiyo David Moyes.Akiongea na waandishi wa habari Ferguson alisema,,,
"Mambo makuu matatu unayotakiwa uyazingatie wakati wa kufanya kazi ndani ya uongozi na benchi la ufundi ni maadili y kazi,uungwana na saikolojia wa watu.
"Unaweza ukasiji aina fulani ya mfanyakazi au mchezaji haijalishi ana uwezo mdogo kiasi gani,cha muhimu ni kwa jinsi gani watu wamekubali kufanya kazi na wewe na kwa jinsi United inavyocheza basi hilo ndo jambo la msingi zaidi
Ferguson alikuwa na wakiti mgumu katika miaka ya mwanzo kipindi akianza kazi ndani ya Man U,lakini kocha huyo anasema alikuwa na hasia katika kipindi hicho cha kazi,aliendelea kusema,,
"Siku zote hisia nzuri huja katika hli nzuri ya mafanikio,siuwa na hasira tena baada ya timu kufanya vizuri na ndicho watu wanachokiona wakati wa sasa
"Wakati mwingine unahitaji kuwatia moyo wachezaji ili wawe katika hali nzuri katika mchezo na mud wote wa kucheza mpira".
No comments:
Post a Comment