Usiku wa leo ni usiku ni Usiku wa Ulaya maarufu kama(Uropean Night)kwa timu mbalimbali barani humo kwa upande wa vilabu kukutana atika mashindano ya klabu bingwa barani Ulaya(Uefa Champions League)
.Mchezo utakao kuwa unavuta hisia za watu wengi ni kati ya Arsenal dhidi ya Napoli.
Katika mchezo huu jambo la kuvutia hapa ni uwezo alionao kocha wa Napoli Rafa Benitez,msimu uliopita alikuwa na klabu ya Chelsea pamoja na hilo anasifika kwa kuwa Mr.Uefa kutokana na alichokifanya Pale uwanja wa Instabul Uturuki akiwa na Liverpool 2005,lakini kwa wakati huu anakuja na ujio wa timu mpya.Nini atakachokifanya kwenye uwanja wa Emirates usiku wa leo akiwa na mshambuliaji alitaka kusajiliwa na Arsenal, Gonzalo Higuin.
IFUATAYO NI RATIBA YA MICHEZO ITAKAYOCHEZWA USIKU WA LEO
Zenit St Petersburg | v | FK Austria Wien | Petrovski Stadium | 19:00 | |
Steaua Bucharest | v | Chelsea | Stadionul Ghencea | 21:45 | |
Arsenal | v | Napoli | Emirates Stadium | 21:45 | |
Celtic | v | Barcelona | Celtic Park | 21:45 | |
Ajax | v | Milan | Amsterdam Arena | 21:45 | |
Basel | v | FC Schalke 04 | St Jakob-Park | 21:45 | |
Borussia Dortmund | v | Marseille | Signal Iduna Park | 21:45 | |
FC Porto | v | Atltico de Madrid | Estadio do Dragao | 21:45
|
No comments:
Post a Comment