Thursday, 10 October 2013

UKAME WA MAGOLI UTAKWISHA TU;BENZEMA


'I won't go 10 years without scoring'
Karim Benzema
Mshambuliaji wa Real Madrid Karem Benzema haogopeshwi na ukame wa kutofunga magoli katika timu ya taifa hata kama kikipita kipindi cha miaka 10.


Mchezaji (25) ambae amecheza dakika 1,217 bila kufunga goli kwenye timu ya taifa amesema anaamini jambo hilo lina muda mfupi kumalizika kuliko muda uliopita,akiongoa na waandishi wa habari katika kambi ya timu ya taifa Benzema alisema

"Ni kwel kimepita kipindi cha muda mrefu bila kuifungia goli timu yangu ya taifa,lakini sio kipindi cha miaka 10

"Nazidi kujitahidi katika kila mchezo ninaocheza na sio kukata tamaa,najua nitapata ninachokitafuta,kuna makundi tofauti yanayocheza no 9,wapo ambayo hawafungi magoli sana lakini wanatekeleza majukumu mengine na mimi nipo kwenye kundi hio wa wachezaji

"Katika akili yangu sifikirii sana kufunga bali nafikiria timu yangu ya taifa kushinda,lakini kama nikifunga ni jambo bora pia kwa sabubu kufunga ni jambo zuri

Katika klabu yake ya Real Madrid mshambuliaji huyo hajawa na mwanzo mzuri wa msimu na kuzungumzia hali hio Benzema alisema

"Tatizo la kuwaza kuhusu kufunga siwezi kuisubri ndani ya uwanja hata kwenye klabu yangu

"Niamini mimi nahitaji kuvheza kila waakati kwa hiyo suala la kufunga halinisumbui sana

"Nahitaji kuanza kulinda kisha kwenda kufunga,sio jukumu langu kikimbia kila wakati katik eneo la Lloris

"Inawezekana nikakimbia kilometee 10 katika mchezo siwezi kusema nitakuwa nimekimbia sana uwanjani."

No comments:

Post a Comment