Ligi ya mabingwa barani ulaya inatarajiwa kuanza roundi yake ya kwanza kwenye hatua za mkundi kwa kushuhudia timu kama Mancherster United ikishuka uwanjani.Hapa jambo la kuamngaliwa na mashabiki wengi wa soka sio kwamba,,
klabu hiyo ni mara ya kwanza kushirikikatika mashindano hayo bali mechi ya kwanza kwa kocha mpya wa timu hiyo David Moyes.
Ifuatayo ni ratiba ya michezo ya usiku wa leo.
Man Utd | v | Bayer Leverkusen | Old Trafford | 20:45 |
| |
Olympiacos | v | PSG | Karaiskakis Stadium | 20:45 | | |
Bayern Munich | v | CSKA Moscow | Allianz Arena | 20:45 |
| |
Benfica | v | Anderlecht | Estadio da Luz | 20:45 | | |
Real Sociedad | v | Shakhtar Donetsk | Anoeta | 20:45 | | |
FC Copenhagen | v | Juventus | Parken | 20:45 | | |
Galatasaray | v | Real Madrid | Turk Telekom Arena | 20:45 |
| |
Plzen | v | Man City | Struncovy Sady | 20:45 |
|
No comments:
Post a Comment