Baada ya kuchezwa michezo mbalimbali ya ligi ya England maarufu kama English Premier League,wachambuzi mbalimbali wa soka wamechambua mchango wa kila mchezaji kwenye timu yake na baada ya hapo wakatuletea kikosi cha wachezaji 11 waliofanya vizuri katika michezo ya mwisho wa wiki...
Na ifuatayo ni Orodha ya wachezaji waliopata nafasi ya kuingia kwenye kikosi cha wiki.
1.GOALKEEPER - JOE HART (Manchester City)
2.DEFENDER - CARL JENKINSON (Arsenal)
3.DEFENDER - CURTIS DAVIES (Hull City)
4.DEFENDER - GARETH McAULEY (West Brom)
5.DEFENDER - DANNY ROSE (Tottenham)
6.MIDFIELD - AARON RAMSEY (Arsenal)
7.MIDFIELD - HATEM BEN ARFA (Newcastle)
8.MIDFIELD - MESUT OZIL (Arsenal)
9.FORWARD - WAYNE ROONEY (Manchester United)
10.FORWARD - CHRISTIAN ERIKSEN (Tottenham)
11.FORWARD - GYLFI SIGURDSSON (Tottenham
No comments:
Post a Comment