![]() |
Akiongea na waandishi wa habari Sedorf alisema Balotel anahitaji kubadilika,Ni kweli kuna wakati mtu anahitaji kujidhihirisha kama kijana,,,ukiangalia yeye ana umri wa miaka 23,
Baloteli alionekana akilia mara baada ya kutolewa nje baada ya kukosa bao la wazi
Akizungumzia tukio hilo Seedorf alisema haoni kama kuna tatizo,Anahitaji kukuwa kwa ujumla,alicheza vizuri sana michezo miwili iliyopita labda jana hakuwa na mchezo mzuri ladba jana hakupata nafasi za kutosha.
Kuna vitu anahitaji kuviongeza na mimi npo tayari kumsaidia juu ya eimu ya mambo hayo.
No comments:
Post a Comment