Thursday, 5 December 2013

ANGALIA PICHA ZA MANDELA KATIKA MATUKIO YA KOMBE LA DUNIA AFRIKA KUSINI

Wakati dunia ikiombeleza kifo cha mpigania uhru wa inchi ya Afrika Kusinina raisi wa zamani wa inchi hiyo Mzee Nelson Mandela kwa harakati zake za kuwakomboa watu wliokuwa wakiteswa na wakoloni,si kwamba dunia inamkmbuka kwa sababu ya rangi yake au kuwa kiongozi kwa taifa lenye uchumi mkubwa kuliko yote barani Afrika bali ni kutokana na uwezo wake wa kuyapigania maisha ya wenzeke na hata kwenda gerezani kwa ajili ya maisha ya watu.Pamoja na kujihusisha na matokio mbalimbali katika yanja ya siasa hakuachwa nyuma katika maswala ya kuendeleza mpira wa soka.angalia picha zake katika atukio mbalimbali ya mchezo wa soka.



Former President Nelson Mandela holds the World Cup in 2004 as South Africa won the right to host the 2010 World Cup finals, the first to be played in Africa




Nelson Mandela with Francois Pienaar





Nelson Mandela and Sepp Blatter



Former President Nelson Mandela holds the World Cup in 2004 as South Africa won the right to host the 2010 World Cup finals, the first to be played in Africa


England cricket team observe minute's silence


Mandela and football: A tribute
Add caption

No comments:

Post a Comment