Friday, 29 November 2013

ANGALIA POT ZA JINSI YA KUPANGA MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA 2014


When is the World Cup draw for Brazil 2014?



Wakati watu wengi wakisubiri mashindano ya kombe la dunia yatayofanyika mwakani ichini Brazil,,tayari pot za makundi tayari zimeshatolewa kama muongozo ya makundi yatakayopangwa mwezi Decemba mwaka huu.

Pot 1Pot 2
 Spain Japan
 Germany Iran
 Argentina South Korea
 Colombia Australia
 Belgium USA
 Uruguay Mexico
 Switzerland Costa Rica
 Brazil Honduras
  
Pot 3Pot 4
 Chile Netherlands 
 Ecuador Italy
 Cote d'Ivoire England
 Ghana Portugal
 Algeria Greece
 Nigeria Bosnia-Herzegovina
 Cameroon Croatia
 France Russia

No comments:

Post a Comment