wachezaji wa Arsenal wakishangilia goli katika mchezo wao dhidi ya Napoli |
Kiungo Mesut ozil amefunga goli lake la kwanza ndani ya uzi a Arsenal na kuendeleza uwezo wake wa kutoa pasi za magoli kwa kusaidia kupatikana kwa goli la pili.
Ozil alifunga goli la kwanza katika dakika ya nane ya mchezo dhidi ya Napoli ka kuunganisha pasi murua kutoka ka Arony Ramsey.
Arsenal walionekana wanashauku ya kushinda baada ya kupulizwa kipyenga cha kuanza mchezo huo,ka kuliandama goli la wapinzani wake na kuendeleza rekodi ya kushinda ndani ya michezo waliocheza kwa kucheza michezo tisa,wamepoteza mmoja na kushinda mingine nane,tano ya ligi,mmoja wa capital one na miwili ya ligi ya mabinwa.
Akizungumzia mchezo huo kocha wa Arsenal,Arsene Wenger amesema,timu imeonesha kiwango kilicho bora tena hasa kipindi cha kwanza,ka kweli kilikuwa cha kufurahisha sana ka upande wetu.Kila kitu kilikuwepo,uezo wa timu,uezo a mtu binafsi,uwezo wa kumalizia nafasi na kupiga pasi unaweza ukafikiri upo kenye ndoto kwa jinsi timu ilivyokuwa inacheza.
Kuhusu Ozil amec heza vizuri kwa mchezaji kutokufunga goli kwa muda fulani baada ya kusajiliwa na timu fulani akili yake inakuwa imekosa jambo fulani,lakini hilo kake halipo tena.
Ozil alitoa pasi ya goli la pili lililofungwa na Olivier Giroud dakika ya 15 na kufikisha jumla ya assist pass tano kwa michezo minne aliyocheza ndani ya Arsenal.
Arsenal sasa imekea hadi kileleni kenye kundi F kwa point 6 mbele ya Borusia Dortmund akiwa na point 3 sawa na Napoli lakini akiwa na uwiano mzuri wa magoli.
No comments:
Post a Comment