Wednesday, 9 October 2013

KUTOKA BOLLYWOOD;LEO TUNAKULETEA vVIDEO YA WIMBO WA KISA CHA MAPENZI UNAITWA' ANDAZ'


Katika maisha kila mwanadamu anahisia zinazompelekea kumpenda mtu fulani au kuwa na mahusiano na mtu fulani,ili umpatemtu umpendae ni lazima kuwa na makubaliano kati ya moyo wako na moyo wake.Makubaliano yanaweza kufanywa kwa matendo au kwa maneno
.Vipi shilingi inapokuwa upande mwingine kwa kumpenda mtu na kushindwa kumwambia alafu mwisho wa siku mtu yule anapechukuliwa na mtu mwingine,ni maumivu makali kiasi gani utakayoyasikia.Hii ni siri kubwa kati yako na mwili wako hata kama ukimsimulia mtu anaweza kufikiria tu jinsi unavyopata maumivu lakini sio kukupunguzia maumivu au kujua ni kwa kiasi gani unavyoumia.Leo tunauangalia wimbo uliimbwa na msanii kutoka bolyywood Aksay Kumar akikuambia Andaz katika picha inayojulikana kwa jina la Andaz,,,ndani ya picha hii Aksay anasimulia kisa cha kupenda binti toka akwa mdogo lakini mwisho wa siku alichelewa kumwambia na kushuhudia akiolewa na mwanaume mwingine na yeye kuishia kuumia na kusema maneno haya 'I U LOVE SOMEBODY SAY IT BEFORE IF BE TOO LAITE' haya ni baadhi ya maneno yanayopatikana kwenye wimbo huu.

No comments:

Post a Comment