![]() |
Wyne Rooney |
![]() |
Mchezaji bora wa mchezo wa jana Andros Townsend akiingia uwanjani |
![]() |
Hii ni picha ya Sir Boby Moore,nahodha wa timu ya taifa ya Uingeeza iliyotwaa kombe la dunia 1966 iliyopo nje ya uwanja wa Wembley. ![]() Picha ya baadhi ya mashabiki wa England wakiishangilia timu yao. ![]() Wachezaji wa timu zote mbili wakijiandaa kuingia uwanjani ![]() Picha ya pamoja ya kikosi cha timu ya taifa ya Uingeeza. ![]() Mshambuliaji wa uingeeza Daniel Staridge akipiga mpira kichwa katika moja ya heka heka katika lango la Montenegro . ![]() Kiungo Jack Welshere akifuatilia mchezo akiwa kwenye benchi ![]() |
nafasi ya kufunga

Wyne Rooney akishangilia goli la kwanza

Andros Townsend akipiga shuti lililofunga goli la tatu

Daniel Sturidge akifunga goli la nne kwa mkwaju wa penalti.

Baadhi ya wachezaji wa Uingereza wakishangilia
No comments:
Post a Comment