Tuesday, 10 September 2013

IFAHAMU MBINGU NDOGO YA BRAZIL INAYOFANYA MAISHA YAKIMBIE KWA KASI

Moja ya ghorofa ya hoteli zinapatikana kwenye fukwe hiyo


Kuna watu wanaishi kwenye hii dunia kama wapo katika pepo ndogo au mbingu ndogo na kuamini kama,,
kuna Mbingu nyingine basi haina tofauti na hiyo waliopo kwa sasa watu hao kila siku wanatamani izidi kuwaonesha siku inayofutwa wala hakuna hata mmoja anaetamani kufa,watu hawa wanapatikana Brazil katika fukwe za Copacabana,inaaminika kuwa ikishaingia ndani ya fukwe hizo huwezi kutambua majira ya nyakati tena kuwa ni mchana au ni usiku raha iliyojee.Sasa kuelekea fainali za kombe la dunia naanza kukuletea uhundo wa fukwe hiyo na leo nakuonesha picha tano zinazoonesha muonekano wa fukwe hizo.



Moja ya ghorofa ya hoteli zinapatikana kwenye fukwe hiyo

Mmoja ya warembo wa kibrazil akiwa amejipumzisha
kwenye fukwe hizo

Picha ikionesha fahari zinazopatikana Copacabana


Hivi ndivyo maisha ya wapenzi yanavyokuwa.


Mwanga wa rangi mbalimbali unaopatikana kwenye fukwe hizo
ili kuwavutia watu wakati wa usiku.

No comments:

Post a Comment