Floyd Mayweather kushoto akimtupia konde languvu mpinzani wakeSaul Alvarez. |
Bondia Floyd Mayweather ameendeleza rekodi yake ya kutopoteza mchezo hata mmoja katika mapambano,,
45 aliyocheza katika historia ya mapambano alicheza katika mchezo wa masumbwi kwa kumtwanga Saul Alvarez.
Mayweather alionesha uwezo mkubwa katika pambano hilo japo alipata upinzani mkubwa kutoka kwa mpinzani wake,nakuaminika labda ingewezekana reodi yake ya kutopozeza kuishia hapo katika pambano hilo
Nilishindwa ni kwa namna gani niweze kumpiga kwa haraka na kumshinda hakika Ford ni mpiganaji wa ajabu sana,,'Alvarez alisema baada ya pambano
Leo ndo nimepigana na mtu mkubwa kama huyu anastahili kuwa mpiganaji wa dunia,mpiganaji huyo wa Mexcico alikuwa amepewa nafasi kubwa ya kumshinda Ford kutokana na rekod zake za hapo mwanzoni kutoka kwa wachambuzi wa maswala ya Ndondi kutoka marekani kwenye kituo cha matangazo cha MGM.
Mayweather alishinda pambano hilo kwa pointi117-111 kutoka kwa jaji wa kwanza,116-112 kutoka kwa jaji wa pili,114-114, kutoka kwa jaji wa tatu.
No comments:
Post a Comment