Christian |
Christian,amepata tatizo la mtikisiko katika kichwa chake baada ya kupata tatizo wakati wa pambano la ubingwa wa WWE na mpinzani wake Randy Orton kwa mujibu wa dactari wake Chris Adam.
Matibabu bado yanaendelea vizuri lakini bado anawingu katika macheraha aliyoyapata,na kinachosubiriwa siku chache zijazo ataanza mazoezi
No comments:
Post a Comment