Klabu ya soka ya Arsenal itakutana na Chelsea kwenye hatua ya nne ya mashindano ya kombe la ligi yaani Capita one baada ya kuifuna timu ya West Bromwich Albion kwa mikwaju ya penalti.
Draw ilifanyika usiku wa jana uliishuhudia Arsenal ikikutana na vijana wa Joose Morinho,Manchester United baada ya kuitoa Liverpool itacheza na Norwich City,Tottenhaim itacheza na Hully City.
IFUATAYO NI DRWA YOTE ILIYOFANYIKA
Manchester United | v | Norwich City | Old Trafford | 21:45 | |
Arsenal | v | Chelsea | Emirates Stadium | 21:45 | |
Sunderland | v | Southampton | Stadium of Light | 21:45 | |
Leicester City | v | Fulham | King Power Stadium | 21:45 | |
Newcastle United | v | Manchester City | St. James' Park | 21:45 | |
Tottenham Hotspur | v | Hull City | White Hart Lane | 21:45 | |
Birmingham City | v | Stoke City | St.Andrew'sStadium | 21:45 | |
Burnley | v | West Ham United | Turf Moor | 21:45 | |
No comments:
Post a Comment