Wednesday, 5 February 2014

IBRAHIMOVIC AMTUMIA UJUMBE WA HAPPYBITHDAY RONALDO

'The shirt will look better on me!' - Ibrahimovic & Ronaldo in playful Twitter exchange


Mahambuliaji Zlatan Ibrahimovic amemtumia zawadi ya siku ya kuzaliwa mchezaji bora wa dunia 2013 Cristiano Ronaldo kwa kumwandikia ujumbe katika mtandao wa kijamii wa twitter.


Ronaldo aliecheza dakika 90 katika mchezo wa kwanza wa kombe la copa de rey dhidi ya wapinzani wao wa jado Atletico Madrid,na kushinda 3-0.

Lilikuwa ni tukio la kufurahisha kwa nyota huyo kwa kufikisha miaka 29 siku ya Jumatano,Ronaldo amefungiwa kucheza michezo mitatu kwa kosa la utovu wa nidhamu katika mchezo wa ligi dhidi ya Athletic Bilbao na kupelekea kutolewa kwa kadi nyekundu lakini chama cha soka cha Hispania klitoa taarifa ya kumfungia mchezaji huyo kwa michezo mitatu baada ya mchezo wa Atletico Madrid.

Ronaldo alipata jumbe nyingi kutoka wa mashabiki wake mblimbali lakini hakutegea kutoka kwa  Ibrahimovic.

 Ibrahimovic. Alimuandikia ujumbe unaosema"Happy birthday @Cristiano. I have sent your new favourite outfit in the post "

Ujumbe huu aliuambatanisha na t shit iliyoandikwa,,Dare to Zlatan

View image on Twitter

No comments:

Post a Comment