Tuesday, 3 September 2013

EXCLUSIVE NDANI YA WWE;TRIPLE H AMTAMBIA BIG SHOW

Tripple H kulia akijibizana na Big Show.
Mcheza mieleka anaejulikana kwaa jina la Tripple H amemtaka mpiganaji menzake...
wa mchezo huo Big Show kupambana na Daniel Bryan katika mchezo wa utumia kitu chichote maaarufu kama

  THEWorld's Largest Weapon and Cody Rhodes

akijibu maswali ya hapo kwa hapo kutoka kwa waandishi wa habari waliokuwepo katika uwanja wa Raw Stadium alisema napenda kukutana na mshindi kati ya wao wawili ili azidi kuthihirisha uwezo wake.

No comments:

Post a Comment