Arony Ramsey na Yaya Sanogo wakishangilia goli la pili |
ya 100% ya klabu hiyo katika hatua ya awali ya michuano ya Uefa Champion League kwa kucheza michezo 12 na kutopoteza hata mmoja,mwanzo mzuri wa kiungo huyo wa msimu huu umeendelea vizuri kwa kufunga magoli mawili katika kila kipindi cha mchezo dhidi ya Fenerbance. Jack Welshere alionekana wenye wasiwasi baada ya kupata maumivu katika anckle ya mguu wake lakini aliweza kurejea na kuendelea na mchezo,kipa wa Arenal Wojciech Szczesny alifanya kaziya ziada baada ya kuokoa shuti kali lilillopigwa na Emmanuel Emenik.Lukas Podolski alitolewa nje baada ya kupata tatizo la kukaza kwa misuli yaani hamstring injury na tatizo hilo litamuweka nje kwa wiki tatu.kwa matokeo hayo yanaifanya Arsenal ifuzu hatua ya makundi yanayotarajiwa kupangwa cku ya ijumaa mchana na shirikisho la mpira baarani ulaya. UEFA Kwa ush
indi wa Agregated wa magoli 5-0
ORODHA YA KIKOSI KILICHOCHEZA MCHEZO.
Arsenal
- 01 Szczesny
- 03 Sagna
- 04 Mertesacker Booked
- 17 Monreal
- 25 Jenkinson
- 10 Wilshere
- 14 Walcott (Miyaichi - 74' )
- 16 Ramsey Booked
- 19 Cazorla
- 09 Podolski (Gibbs - 49' )
- 12 Giroud (Sanogo - 60' )
Substitutes
- 21 Fabianski
- 06 Koscielny
- 28 Gibbs
- 07 Rosicky
- 26 Frimpong
- 22 Sanogo
- 31 Miyaichi
Fenerbahce
- 01 Demirel
- 02 Korkmaz Booked
- 22 Alves
- 77 Gonul Booked
- 14 Meireles Booked
- 16 Cristian (Potuk - 67' )
- 21 Sahin
- 88 Erkin
- 07 Sow (Topuz - 83' )
- 11 Kuyt (Webo - 66' )
- 29 Emenike Booked
Substitutes
- 23 Gunok
- 03 Kaldirim
- 04 Irtegun
- 26 Potuk
- 38 Topuz
- 48 Ucan
- 09 Webo
Ref: Carlos Velasco Carballo
Att: 59,000
Arsenal 52 Fenerbahnce 48
MASHUTI
Arsenal 18 Fenerbahnce 16
On target
Arsenal 11 Fenerbahnce7
CORNER
Arsenal 5 Fenerbahnce 6
FOULS
Arsenal 8 Fenerbahnce 14
No comments:
Post a Comment