Monday, 21 October 2013

WENGER;BADO MANCHESTER IPO KWENYE MBIO ZA UBINGWA

Wenger: Man Utd not out of title race yet
Kocha a Arsenal,Asene wenger

Kocha wa Arsenal,Arsenal Wenger amesema hawezi kuitoa Manchester United katika mbio za kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Engand msimu huu.


Arsenal iliongeza wigo waa pointi dhidi ya mahasimu hao wakubwa wa ligi hiyo siku ya jumamosi baada ua kuapata matokeo ya ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya Norwich huku Man U wakitoka sare ya goli moja kwa oja dhidi ya Southampon.

Wenger ameeleza ubingwa hauwezi kuelezeka kwa mapema kua nani atachukua kwani bado ni safari ndefu.Akizungumza kwenye mtandao waklabu hiyoWenger amesema,,,

" Bado ni mapema kuzungumzia bingwa w ligi kwa sasa ni nani,pamoja na kuwa tofauti point tisa na sisi bado naona wana nafasi ya kufanya vizuri katika mbio za ubingwa,

"Kama ni chaguo la mtu hakuna aneependa kuwa nyuma ya mtu anaeongoza kwa point nane,lazima utake kuwa katika uongozi wa ligi,

"Lakini huwezi ukaitoa Man u katika mbio za Ubingwa katika siku ya leo,kwani bado ina wachezaji wazuri,mwenye uzuefu wa ligi na ni klabu yenye historia kubwa katika sola na ligi ya England

"Kwa sasa sisi tuna wachezaji bora,kila mmoja ana uwezo mkubwa hatufikirii kusajili mchezaji mwingine mwezi january

"Nafikiri ni muhimu kujua kuna wachezaji wapo majeraha kwa sasa watarudi mwezi November na mwezi December hapa kikosi kitaongozeka kwa asilimia kubwa,

"Ukweli kwa sasa tuna kikosi kizuri na kila anaepata nafasi anaonesha kiwango kikubwa".

No comments:

Post a Comment