Ligi ya mabingwa barani ulaya inatarajiwa kuendelea tena usiku wa kesho kwa kuchezwa michezo kadha wa kadha,ipo michezo itakayogusa hisia za mashabiki wengi wa ska kutoka sehemu mbalimbali barani ulaya.Mchezo kati ya Arsenal na Dortumd ni moja kati ya mchezo utakao kuwa mkali na wakusisimua kutokana na timu zote kugombania nafasi ya kwanza ya kuongoza kundi hilo ili kujiweka katika mazingia mazui ya kufuzu hatua ya 16 bora.
Mchezo mwingine ni kati ya Barcelona watakaowakaribisha Ac Millan.Huu ni mchezo bora na wenye upinzani mkubwa kutokana na historia ya timu zte mbili kuwa na upinzani mkubwa pindi zinapokutana na zote zinagombania nafasi ya kuongoza katika kundi lao ili kufuzu kwende roundi ya 16 bora.Kwa atiba zidi ya michezo mingine fuatili hapa
FC Porto | v | Zenit St Petersburg | Estadio do Dragao | 20:45 | |
FC Schalke 04 | v | Chelsea | VELTINS-Arena | 20:45 | |
Arsenal | v | Borussia Dortmund | Emirates Stadium | 20:45 | |
Celtic | v | Ajax | Celtic Park | 20:45 | |
FK Austria Wien | v | Atltico de Madrid | Generali Arena | 20:45 | |
Marseille | v | Napoli | Stade Vlodrome | 20:45 | |
Milan | v | Barcelona | Giuseppe Meazza | 20:45 | |
Steaua Bucharest | v | Basel | Stadionul Ghencea | 20:45 |
No comments:
Post a Comment