Monday, 21 October 2013

FAHAMU TOP 10 YA MSHAHARA KWA WACHEZAJI WA LIVERPOOL


Nahodha wa Liverpoool,Steven Gerald

Klabu ya soka ya Liverpool ni moja ya klabu yeynye historia kubwa ya soka katika soka la Uingereza,barani ulaya na hata dunuani kote,wapo watuwanaosababisha historia ya klabu hii izidi kukuwa siku hadi siku,kuna jopo zima la klabu hiyo lakini kazi yao inakamilishwa uwanjani na wachezaji wa timu hiyo ndo wanaowakilisha.


Inawezekana kabisa kwa asilimia nyingi ya mashaiki wa ska wakawa hawaifahamu sekta ya uongozi wa Livepool lakini wakafahamu kwa asilimia kubwa kikosi cha timu hiyo,kwa kutambua hilo leo tumekuletea orodha ya wachezaji kumi wa kikosi cha kwanza cha Liverpool kinacholipwa fedha nyingi kuliko wachezaji wengine ndani ya timu hiyo.
 
TOP TEN YA MISHAHARA YA JUU NDANI YA LIVERPOOL


  1. Steven Gerrard - £120,000 

2. Luis Suarez - £100,000 

3. Daniel Sturridge - £90,000 

4. Glen Johnson - £80,000 

5. Mamadou Sakho - £75,000 

6. Jordan Henderson - £70,000 

7. Martin Skrtel - £70,000 

8 Daniel Agger - £70,000 

9. Lucas Leiva - £65,000 

10. Coutinho - £60,000

No comments:

Post a Comment