Monday, 21 October 2013

VAN PERSIE AONEKANA AKINUNUA DAWA ZA KUTULIZA MAWAZO

ac103e8b-c83b-4e8d-a96f-cd66f3a07716.jpg
Robin Van Persie akitoka kwenye duka la kuuza dawa za kutuliza mawazo ililopo
 mjini Manchester

Mshambuliaji wa Mancheste United Robin Van Persie ameonekana akitoka katika duka moja la dawa mji Manchester,huku duka hilo la dawa likihusika na kuuza dawa za kutibu ugonjwa wa mawazo maauru kama (Depression)
na dawa hizo zikijulikana kama(Anti-depressants) hakuna taarifa zilizotoka nini chanzo cha mshambuliaji huyo kununua dawa hizo, ni matatizo binafsi u ni matatizo ya kimpia kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo.

No comments:

Post a Comment