Flamini akiwa chini baada ya kugongana vichwa na mmoja ya mchezaji wa Norwich City |
Kiungo mkabaji wa klabu ya soka ya Arsenal Mathew Flaamini anatarijiwa kuokosa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya timu ya soka ya Dortmund utakaochezwa usiku wa jumanne katika dimba la Emirates kutokana na maumivu ya kichwa aliyoyapata katika mchezo wa ligi dhidi ya Norwich City.
Akithibitisha taarifa hizo mbele ya waandishi wa habari kocha wa timu hiyo Arsene wenge amesema Flamini atakuwa nje kwa muda wa siku tano .
Flamini alietplea nje katika dakika ya 35 na nafasi yake kuchukuliwa na arony Ramsey ,na kuonesha kiwango kizuri katika mchezo huo,pia mchezaji Theo walcot huenda akarejea kwenye kikosi cha kwanza baada ya kusumbuliwa na maumivu kwa muda wa wiki sita.
No comments:
Post a Comment