Mysterios wakiwa wamesimama kwenye uwanja wa Stamford Bridge |
Watu wasio wa kawaida katika muonekano wa sura na maumbile walinekana katika uwanja wa Chelsea Stamford Bridge akifuatilia mra kati ya Chelsea na Manchester City.
Watu hao waliojulikana ka jina la (Mysterious)walionekana wakiwa makini wakifuatilia mpira huo na kuzua maswali mengi,ni watu kutokea upande gani, na asili yao.Awali watu hao walionekena katika uwanja wa Aianz Aena wakishuhudia mchezao kati ya Bayern Munich na Herltha Berlin.
Hapa nakueletea picha mbalimbali zinazoonesha muonekano wa watu hao
Mmoja wa Mysterios akiwa nyuma ya mchezaji nyota wa zamani wa Chelsea | Franz Beckenbauer |
Watu hao wakiwa wameketi wakifuatilia mchezo |
No comments:
Post a Comment