Monday, 28 October 2013

HABARI NJEMA KWA MAN U,FLECHER AREJEA MAZOEZINI

image
Kiungo Daen Flecher kulia akiwa na kocha wa Man U David Moyes

Kiungo wa Manchester United Daen Flecher ameejea kwenye kikosi chw kwanza na kufanya mazoezi na kikosi hicho siku ya jumatatu.


Flecher aliekuwa anasumbuliwa na majeraha ya muda mrefu yanayojulikana kama(hronic bowel disease ulcerative colitis)na alionekana uwanjani mara ya mwisho akicheza mchezo dhidi ya Newcastle msimu wa mwaka 2012.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 29 alicheza dakika 67 katika kikosi cha chini ya umri wa miaka 21 na kuonesha kiwango kilicho bora.Akiongea na Man U Tv alisema,,,,

"Nimekuwa niifanya mazezi kwa muda wa wiki chache zilizopita na sasa maendeleo ni mazuri,,jambo hili imenipa furaha sana

"Ni muda mrefu ulipita kwa mimi sitokuwa uwanjani,nafurahi kwa mimi kurejea uwanjani katika jioni ya leo

"Lengo lilikuwa ni kucheza kipindi cha kwanza lakini niliongeza hadi dakika ya 60 ili kuangalia hali itakuwaje

"Ilikuwa ni jambo kubwa kwa mimi na kwa doctor Steve McNally kwa kufanya kazi kubwa ya kutibu ugonjwa niliokuwa nao na kwa kipindi kizuri kwa kocha aliepia Sir Alex Ferguson na ujio wa meneja mpya David Moyes,

"Nilikuwa naffikiia ma,bo mwzuri muda wote na kulikuwa na timu kubwa ikiwa karibu yangu,iliyonifanya nizidi kusonga mbele,kunitia moyo na kuninyanyua pale ninapokuwa nimeanguka,yote haya yalinifanya niweze kuwa katika hali nzui siku ya lelo,

"Lengo langu ni kuejea katika mchezo moja kwa moja na kuwa katika malengo ya kocha mwisho wa siku nitumike katika kikosi cha Man U,

Kurudi kwangu ni swali kwa David Moyes,naamini nitacheza michezo michache na kikosi cha miaka 21 kisha nitarejea kwenye kikosi cha wakubwa na nitakuwa tayari kwa kila kitakachotokea kwenye kikosi cha kwanza".



No comments:

Post a Comment