Saturday, 26 October 2013

MOYES AFURAHISHWA NA KIWANGO CHA DE GEA

Kocha wa Man U, David Moyes

Kocha wa Man U David Moyes amesifu kiwango kilichoooneshwa na kipa wa timu hiyo David De Gea katika mchezo wa ligi dhidi ya Stoky City.


Mchezo huo ulimaizika kwa Man U kushinda magoli 3-2 na kuchuua point tatu muhimu,akizungumzia kiwango cha kipa huyo Moyes alisema,,

"tunahtaji golikipa ufanya kazi ya ziada kuokoa mashuti yanayokaibia kwenda golini,

"Lakini hiyo nd kazi ya timu na yeye yupo pale kwa ajili ya kufanya kile alichokifanya na zaidi ni kwa timu nzima,

"Stoky hawakufunga magoli mengi ila walisstahili kufanya hivyo katika kipindi cha kwanza lakini yeye alifanya kazi ya ziada katika goli kuzuia mengine,

"Katika michezo ya ligi ipo tuliofanya vizuri na mingene tumefanya vibaya na nd maana tupo hapa tulipo kwa sasa

Akizungumzia hali ya mchezo wa jana Moyes alisema,,

"Naamini tulistahili kurudisha magoli yote na kupata ushini,timu ilijaribu kugonga mlango na kutengeneza nafasi na hicho ndicho kilichotokea baada ya hayo mamb yalibadilika na timu kupata ushindi,

"Pia tulikuwa na washambuliaji watatu uwanjani na kwa uzuri kila mmoja wao alifunga goli".

No comments:

Post a Comment