Monday, 21 October 2013

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA DRAW YATOLEA BARANI ULAYA,URENO USO KWA USO NA SWEDEN

World Cup play-off draw: Portugal meet Sweden, France face Ukraine
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo

Draw ya timu mblimbali za taifa barani ulaya kwa ajili ya kucheza kombe la dunia mwakani 2014 inchini Brazil imefanyika mchana wa leo na kuishuhudia timu ya soka ya Ureno inayoongozwa na nyota Cristiano Ronaldo ikipangiwa kucheza na timu ya taifa ya Sweden inayoongozwa na Ibrahimovich maarufu kama Ibrakadabra.


Timu hizo zimekutana mara 15 na timu ya Sweden inayotokea ukanda wa Scannavia kushinda mara sita,kutoka draw mara sita na kufungwa mara tatu.

Nayo timu ya taifa ya Ufaransa itakutana na timu ya taifa ya Ukraine,timu zitapambana kwa ajili ya kugombania nafasi moja ya kwenda kucheza kombe la dunia mwakani.

                               IFUATAYO NI RATIBA YA TIMU ZOTE ZITAKAZOCHEZA HATUA YA                                                                                      PLAYOFF

EUROPEAN PLAY-OFFS DRAW
PORTUGALVSSWEDEN
UKRAINEVSFRANCE
GREECEVSROMANIA
ICELANDVSCROATIA

No comments:

Post a Comment