Kiungo wa Arsenal,Jack Welshere |
klabu ya soka ya Barcelona inataka kuanzisha mazungumzo na klabu ya Arsenal kuhusu kumsajili kiungo wa timu hiyo Jack Welshere
kwa ajili ya kuziba pengo la kiungo mkongwe,Xavi Hendanez katika majira ya joto msimu ujao.Source: Daily Star
kocha Jose Morinho ameahidi kumsajili kiungo Sami Khedira na kuzikataa tetesi za kiungo huyo wenda Manchester United.Source: Daily Express
Tottenham Spurs inatarajiwa kutuma kiasi cha Uero milion 28 kwa Aston Villa kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji Benteke katika majira ya baidi mwezi january.Source: Daily Mail
Mlinzi wa Manchester United Patrice Evra,anatarajiwa kuhama kwenye timu hiyo kwenda Monaco baada ya kukataa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuchezea timu hiyo.
No comments:
Post a Comment