Saturday, 26 October 2013

ANGALIA TOP 5 YA WAFUNGAJI EPL MPAKA SASA

Mshambuliaji wa Liverpool  Daniel Sturidge

Baada ya kuchezwa michezo mbalimabali ya ligi wapo washambuliaji waliofanya vizuri katika  timu zao kwa kuzifungia magoli yalisababisha kupata matokeo katika baaadhi ya michezo.Leo tunakuletea washambuliaji tano wanaongoza kwa magoli katika ligi ya epl.
Daniel SturridgeDANIEL STURRIDGE
Mshambuliaji wa
Liverpool
70
Sergio AgüeroSERGIO AGÜERO
Mshambuliaji wa
Manchester City
60
Robin van PersieROBIN VAN PERSIE
Mshambuliaji wa
Man Utd.
51
Luis SuárezLUIS SUÁREZ
Mshambuliaji wa
Liverpool
50
Aaron RamseyAARON RAMSEY
Kiungo wa
Arsenal
50

No comments:

Post a Comment